Watu wanaoishi na ulemavu Nyeri wapewa fedha zitakazowasaidia kukopeshana

Baadhi ya watu wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Nyeri wanalamika baada ya kukosa kupokea fedha zinazotolewa na serikali kwa makundi yasiyojiweza ikiwemo wazee na watu wanaoishi na ulemavu. Hata hivyo kuna matumaini kwa kundi la wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Nyeri baada ya kupokea pesa kuwasaidia kukopeshana.

Read More
From: Kenya CitizenTV

Back to Home