Wakaazi waandamana wakihofia usalama wao eneo la Langas, Uasin Gishu

Wakazi wenye hasira katika eneo la Kapsaret kaunti ya Uasin Gishu wameandama leo kulalamikia Utovu wa usalama na utepetevu wa maafisa wa polisi katika kituo cha Langas. Hii ni baada ya jambazi sugu kutoweka kutoka kituo cha polisi katika hali isiyoeleweka.

Read More
From: Kenya CitizenTV

Back to Home