Wakaazi Baringo wadai umaskini unachangia ongezeko la mimba za mapema

#NTVJioni #NTVKenya #NTVNews

Mimba za mapema zinzendelea kuripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini huku baadhi wakisingizia Janga la corona kuchangia pakubwa katika idadi hiyo kwa kuwa wanafunzi wamelazimika kukaa nyumbani.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Read More
From: NTV Kenya

Back to Home