Wahudumu wa afya wa kujitolea wawahudumia wakaazi jijini Nairobi

Wahudumu wa afya wa kujitolea katika kaunti ya Nairobi wanataka serikali kuhakikisha wanapata vifaa vya kujikinga mbali na marupurupu wanapotekeleza kazi yao mitaani. Wahudumu hao wanadai kuwa wako hatarini ya kupata virusi vya corona kutokana na kazi yao ya kuwatembelea wagonjwa na kuhakikisha wanapata matibabu. Mwanahabari wetu gatete njoroge alipata fursa ya kushuhudia kazi wanayofanya katika eneo la kangemi na hii hapa taarifa yake

Read More
From: Kenya CitizenTV

Back to Home