Ugavi wa mapato: Maseneta walaumu baadhi ya maafisa katika ofisi ya rais

#NTVJioni #NTVKenya #NTVNews

Maseneta sasa wanawalaumu baadhi ya maafisa kutoka ofisi ya rais kwa kuhujumu kupitishwa kwa mfumo wa ugavi wa fedha katika kaunti huku wakidai spika wa bunge hilo Kenneth Lusaka anatumiwa na serikali.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Read More
From: NTV Kenya

Back to Home