Moto mbugani Tsavo waendelea kwa siku ya tatu

#NTVJioni #NTVKenya #NTVNews

Kwa siku ya tatu mfululizo maafisa wa huduma za wanyapori nchini, KWS, wakishirikiana na vitengo vingine wamekuwa kwenye juhudi za kuzima moto uliozuka katika maeneo tofauti nje na ndani ya mbuga hiyo.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Read More
From: NTV Kenya

Back to Home