Kenya yaandikisha idadi ya juu zaidi ya maambukizi kwa siku moja

Kenya imeandikisha idadi kubwa zaidi ya maambukizi ya covid – 19 kwa siku moja baada ya watu 796 kupatikana na virusi hivyo vinavyosambaa kwa kasi. Aidha idadi ya maambukizi katika kaunti zinazopakana na jiji la Nairobi imeanza kutia hofu wakuu serikalini.

Read More
From: Kenya CitizenTV

Back to Home