Kaunti ya Trans Nzoia yadaiwa kutojiandaa vilivyo dhidi ya COVID-19

Baadhi ya wawakilishi wodi kutoka kaunti ya Trans Nzoia wamelalamikia maandalizi duni ya kukabiliana na msambao wa virusi vya corona, wakihoji kuwa licha ya kaunti hiyo kupokea zaidi ya shillingi millioni mia tatu, bado haijatimiza agizo la wizara ya afya ya kuweka vitanda mia tatu.

Read More
From: Kenya CitizenTV

Back to Home