Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content

Filamu nyingine Tanzania yaingia Netflix

Filamu ya Binti iliyoandaliwa na director Seko Shamte kupitia Blackunicorn Studios, itaanza kuonekana tarehe 7 mwezi wa kwanza mwakani. RELATED: Sauti Sol’s Chimano announces himself as a gay man Seko Shamt amesema ni license ya kuonekana ulimwengu kote (Global acquisition) na siyo Africa tu, kwa hiyo watu wote wenye netflix duniani watapata fursa ya kuingalia. […]