#DL MAREKANI YAFUNGA UBALOZI MDOGO WA CHINA JIJINI HUSTON

Marekani imeuagiza ubalozi wa china huko Houston kufunga ndani ya siku tatu, ikidai ni hatua ya kulinda mali na taarifa za wamarekani ikifuatiwa na kushuka kwa ushirikiano baina ya nchi hizo mbili. Beijing imeshutumu. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC.

Read More
From: VOA Swahili

Back to Home