Bunge la seneti lashindwa tena kupata suluhu ya mgao wa fedha

Maseneta leo wamemfokea spika ken lusaka kwa kuahirisha kikao maalum cha kujadili suala tata la mfumo wa ugavi wa fedha za kaunti. Maseneta hao wakidai spika lusaka alifanya uamuzi huo kinyume na sheria huku wakiapa kumpa funzo. Na kama anavyotuarifu chemutai goin, kiongozi wa wengi samuel poghisio amesisitiza kuwa kikao hicho kiliahirishwa ili kuwapa viongozi wa bunge muda wa kuafikiana kuhusu masuala tata

Read More
From: Kenya CitizenTV

Back to Home